Mbwa roboti mwenye uwezo wa kupiga doria bila usaidizi wa binadamu na kufanya maamuzi yake mwenyewe

  • | K24 Video
    59 views

    Ni mbwa aliye na uwezo wa kupiga doria bila usaidizi wa binadamu, kufanya maamuzi yake mwenyewe na hachoki. Tofauti na mbwa wa kawaida, mbwa tunayezungumzia ameundwa kwa vyuma na anatumia umeme katika operesheni zake. Wazalishaji wa mbwa huyo kutoka Abu Dhabi ambao wanatumia teknolojia ya roboti na ile ya akili bandia yaani artificial intelligence, AI, kubadilisha sekta za kilimo, usalama na ulinzi wa mbuga na misitu