Mbwembwe za Bajeti I shamrashamra yashuhudiwa kabla ya kusomwa kwa bajeti

  • | KBC Video
    32 views

    Jumba la Treasury liliangaziwa kwa kipindi kirefu leo asubuhi huku waziri wa fedha Njuguna Ndungu akijiandaa kuwasilisha makadirio ya bajeti bungeni. Safari yake kutoka jumba la Treasury hadi bunge la taifa ingawa fupi ilijawa na shamrashamra nyingi zikiwemo kuonyesha mkoba uliokuwa na makadirio hayo na wakenya waliopanga foleni kushuhudia shughuli hiyo ya kihistoria. Mwanahabari wetu ametuandalia taarifa kamili kuhusu shamrashamra kabla ya kusomwa kwa bajeti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #budget2023