Mbwembwe za sherehe ya Leba dei

  • | KBC Video
    16 views

    Sherehe za mwaka huu za siku kuu ya leba dei zilishuhudia mbwebwe za aina yake huku wafanyikazi wakimiminika katika bustani ya Uhuru kuadhimisha siku hiyo. Kulikuwa na maonyesho ya zana za kazi yaliyofanywa kwa njia za ubunifu ambazo ziligusia mchango wa wafanyikazi katika uchumi wa taifa hili. Miongoni mwa umati huo kulikuwa na Paul Maina Njenga kutoka Kaunti ya Murang’a. Alikuwa amevalia rangi za bendera ya Kenya ili kujivunia uzalendo na hadhi ya wafanyikazi. Ripota wetu, Nancy Okware, alikutana na Njenga na wafanyikazi wengine wenye ari na bidii na huyu hapa na maelezo ya matukio na sauti za sherehe ya siku hii ya wafanyikazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News