MCA 10 wa Nyamira watimuliwa kutoka Bunge la Nyamira

  • | Citizen TV
    488 views

    Wawakilishi wadi kumi wa Bunge la kaunti ya Nyamira wametimuliwa ofisini, baada yao kukosa kuhudhuria zaidi ya vikao vinane katika bunge hilo.