Mchakato wa kumtimua Gavana Abdi Guyo wa Isiolo waanza

  • | Citizen TV
    1,431 views

    Bunge la kaunti ya Isiolo limeanzisha mchakato wa kumtimua Gavana wa kaunti hiyo Abdi Guyo, kwa madai kuwa amekuwa akizitumia fedha za kaunti hio na afisi yake vibaya.Mswada wa kumg’atua uliowasilishwa na mwakilishi wadi wa Sericho Abubakar Godana umepata ungwaji mkono wa wawakilishi wadi 17 kati 18 walioko kwenye bunge hilo, kuwasilishwa kwa mswada huo kukifungua kipindi cha siku saba kwa wakaazi wa isiolo kutoa maoni.Na kama anavyoarifu kamau mwangi, mswada wa kumng’atua Guyo utajadiliwa katika bunge hilo adhuhuri ya jumanne ijayo.