Mchakato wa kuongeza kaunti zaidi unazidi kurindimwa bungeni

  • | K24 Video
    7 views

    Mchakato wa kuongeza kaunti zaidi unazidi kurindimwa ,huku sasa mbunge wa Bomachoge chache Miruka Ondieki akifikisha mswada bungeni wa kuongeza kaunti ya Gucha kutoka kwa kaunti iliyoko kwa sasa ya Kisii. Na kwa mara ya kwanza maoni mbadala yametolewa na seneta wa Kakamega Bonny Khalwale akipinga mswada huo na akipendekeza kupunguzwa kwa kaunti zilizopo hadi 10.