- 263 viewsDuration: 1:18Klabu ya the Blues FC ilikabana sare tasa dhidi ya Mabeghani FC kwenye ufunguzi rasmi wa mchuano wa Amriyah Boy Super Cup makala ya 3 katika uga wa kadongo gatuzi dogo la kisauni kaunti ya Mombasa. Wasimamizi wakisema hatua hiyo ni njia moja wapo ya kukuza na kuimarisha vipaji vya vijana katika eneo hilo na kupunguza uhalifu.