Mabingwa Watetezi wa shule za upili Highway washangazwa na St. Joseph’s Kitale kwa kutandikwa 3-1

  • | Citizen TV
    293 views

    MABINGWA WATETEZI WA SOKA YA SHULE ZA UPILI NCHINI SHULE YA HIGHWAY WALISHANGAZWA BAADA YA KUTANDIKWA MABAO 3-1 NA SHULE YA ST. JOSEPHS KITALE KWENYE MECHI YA KWANZA YA KUNDI “B” ILIYOCHEZWA KATIKA UWANJA WA SHULE YA UPILI YA WAVULANA YA KAKAMEGA HIGH.