Mdahalo kuhusu ushoga | Hisia mseto zasheheni

  • | KBC Video
    26 views

    Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amekosoa uamuzi wa mahakama ya juu uliotoa fursa ya kubuniwa kwa mashirika ya watu wa jinsia moja walio katika mahusiano ya kimapenzi. Wetangula alisema uamuzi huo ni ukiukaji wa maadili ya Kiafrika na kidini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #LGBTQ #News