Mdahalo wa kupiga marufuku muguka washamiri Madaraka Dei

  • | Citizen TV
    4,700 views

    Mdahalo kuhusu muguka ulitawala ndimi za viongozi pwani katika maadhimisho ya siku ya Madaraka Dei. Gavana wa Mombasa aliongoza wajumbe kutoka Mombasa waliotaka kikao na rais ili kuweka bayana ni kwanini walipiga marufuku muguka. Na kama anavyoarifu francis mtalaki kaunti ya kwale imeongeza ada ya zao hilo ili kudhibiti matumizi ya muguka.