Meli ya MV Lobivia kupakiwa mara mbili kila mwezi

  • | Citizen TV
    1,035 views

    Meli ya Mv Lobivia inatarajiwa kufanya shughuli za biashara ya meli kwa meli katika bandari ya Lamu mara mbili kila mwezi. Meli hiyo itakuwa ikiwasilisha mizigo na kupakuwa makasha kwenye meli zingine ndogo kisha kuzisafirisha hadi katika bandari zingine