- 1,347 viewsDuration: 3:01Meneja mhariri wa runinga ya Citizen Jamila Mohamed na Mwanahabari wa RMS wa Kaunti ya Samburu, Bonface Barasa wamezoa tuzo za uanahabari za IGAD kwa uandishi bora wa taarifa zinazohusu jamii. Sherehe ya kutoa tuzo hizo ilifanyika Jijini Addis Ababa ethiopia