16 Sep 2025 1:55 pm | Citizen TV 71 views Duration: 3:06 Wasimamizi wa hospitali zote kuu za Kajiado wamepokea mafunzo ya siku nne ambayo yanalenga kuwapa ujuzi wa kuimarisha namna ya kupata mapato zaidi ambayo yatasaidia kuimarisha utoaji wa hudumu kwenye hospitali hizo