Meneja watatu wakuu wa bodi ya NCPB wafikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    231 views

    Meneja watatu wakuu wa bodi ya kitaifa ya Mazao na kuhifadhi nafaka NCPB wamefikishwa mahakamani wakisubiri kujibu mashtaka yanayohusiana na mbolea ghushi ambayo imekuwa nchini kwa takriban miezi miwili sasa