Methali I Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, Maana yake ni gani?

  • | KBC Video
    31 views

    METHALI YA SIKU

    Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.

    Maana: Mambo mazuri huwa yanajitangaza yenyewe, wakati mambo mabaya yanahitaji juhudi za ziada ili kutambuliwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive