Mfanyabiashara aeleza changamoto za kukosekana umeme Afrika Kusini

  • | VOA Swahili
    87 views
    Mfugaji wa kuku Afrika Kusini apata hasara baada ya kuku wake 40,000 kufa kutokana na ukosefu wa hewa, baada ya kukosekana umeme. Mfugaji huyo anaeleza mikakati yake katika kukabiliana na tatizo hilo la umeme na vipi mfumo huo unaotumia jenereta unavyofanya kazi na katika hali ya dharura kutokana na ukosefu wa umeme nini wafanyabiashara wengine hufanya. Ungana na mwandishi wetu akikuelezea kwa kina changamoto hizo na suluhisho lake. #mfugaji #kuku #afrikakusini #hasara #umeme #jenereta #wafanyabiashara #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.