- 7,169 viewsDuration: 43sMfanyakazi wa duka la pombe alinusurika kujeruhiwa na chui baada ya mnyama huyo kuvamia dukani Kisa hicho kilitokea Rajasthan, India, ambapo chui aliingia ndani ya duka la pombe na kumshambulia muuzaji. Kabla ya hapo, chui huyo alikuwa amemshambulia pia mfanyakazi wa usafi. Baadaye ya chui huyo alijificha karibu na kaunta, hali iliyowafanya wafanyakazi hao wawili waweze kukimbia. Watu waliokuwa nje walifunga duka ili kumzuia chui asitoroke. Baada ya karibu saa tano, maafisa walifika, wakamtuliza kwa sindano ya usingizi na kumkamata na kurudishwa porini. #bbcswahili #india #wanyamamitaani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw