Mfanyibiashara akamatwa Kitale akihifadhi mitungi ya gesi karibu na makazi ya watu

  • | West TV
    236 views
    Mfanyibiashara mmoja kutoka eneo la milimani kaunti ya trans nzoia amekamatwa kwa tuhuma za kuendesha biashara ya kujaza gesi karibu na makazi na bila stakabdhi zinazohitajika