Mfanyibiashara Cleophas Shimanyula Toto adai maiti ya mfanyikazi wa khalwale itafukuliwa

  • | West TV
    17,432 views
    Siku moja tu baada ya seneta wa kakamega dkt boni khalwale kuripoti katika kituo cha polisi cha malinya eneo bunge la ikolomani akitaka mfanyabiashara tajika kaunti ya kakamega cleophas shimanyula almaarufu toto kukamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa tuhuma za kumchafulia jina seneta huyo kutokana na kifo cha mfanyakazi wake kizito moi, sasa mfanyabiashara huyo amejitokeza akidai kuwa hana hatia