Mfanyibiashara kutoka kayole amkashifu mbunge wa eneo hilo kwa kukodi wahuni kupora biashara yake

  • | KBC Video
    16 views

    Mfanyibiashara mmoja katika mtaa wa kayole kaunti ya Nairobi amemkashifu mbunge wa eneo hilo kwa kukodi wahuni kupora biashara yake kutokana na madai kuwa anahusika katika biashara ya pombe haramu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channe: l: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive