Mfanyikazi wa Seneta Boni Khalwale aliyeuawa na fahali amezikwa Malinya Ikolomani

  • | West TV
    2,745 views
    Kizito moi aliyeuawa na fahali wa kupigana wa seneta wa akakamega boni khwalwale jumatatu hii amepewa mazishi ya kishujaa yaliyohitimishwa kwa shindano la fahali kupigana kwa heshima yake