Mfumo wa kufufua tena kiasilia unaosimamiwa na wakulima

  • | K24 Video
    134 views

    Katika makala ya leo ya sauti ya mazingira tunaangazia mfumo wa kufufua tena kiasilia unaosimamiwa na wakulima, FMNR, ni mfumo ambao unawasaidia wakulima kuzuia uharibifu wa mazingira kwa kukuza miti na vichaka vilivyokatwa.