Mfumo wa uorodheshaji wa wanaochangia SHA wakosolewa

  • | KBC Video
    16 views

    Chama cha kitaifa cha wauguzi na wakunga kimekosoa mfumo wa kutathmin uwezo wa kiuchumi Wakenya wanaochangia bima ya afya ya jamii,wakisema una dosari.Wakiongozwa na katibu mkuu wa kitaifa wa chama hicho Seth Panyako, wauguzi sasa wanataka muundo wa mfumo huo kurekebishwa ili kuafiki hali halisi ya kiuchumi ya Wakenya wanaochangia bima hiyo.Maelezo zaidi ni katika taarifa yake Wycliffe Oketch.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive