18 Feb 2026 1:21 pm | Citizen TV 4,055 views Duration: 2:46 Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan umeanza rasmi hii leo. Jamii ya waislamu huko mombasa wametaka serikali kudumisha usalama haswa wakati wa usiku wanapofanya ibada.