Mgawanyiko wachipuka upinzani kuhusu mazungumuzo ya taifa

  • | KBC Video
    9 views

    Migawanyiko imeanza kuchipuka katika upinzani kuhusiana na kongamano la mazungumuzo ya kitaifa linalojumuisha wadau kutoka sekta mbali mbali lililopangiwa kuanza jumatatu ijyo.Huku chama cha ODM kinachoongozwa na Raila Odinga kikionekana kuunga mkono mazungumuzo hayo,vyama vya Wiper na Jubilee ambavyo ni vyama tanzu katika muungano wa Azimio vimejitenga na kongamano hilo,na badala yake kuishauri serikali kutekeleza mara moja maswala yalioibuliwa na vijana.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive