Mgogoro wa uongozi katika Nairobi Hospital wazidi kutokota

  • | KBC Video
    12 views

    Mgogoro wa uongozi katika Nairobi Hospital unaendelea,wadhifa wa mwenyekiti wa bodi ya usimamizi ukitajwa kuwa chanzo.Kundi moja la bodi hiyo linaloongozwa na Herman Manyora linaishutumu kundi la Dr. Barcley Onyambu kwa kupuuza agizo lililotolewa na mahakama tarehe 3 mwezi huu ,kuzuia kuandaliwa kwa warsha ya tarehe 4 mwezi huu huko Naivasha.Huku Dr.Onyambu akishikilia kuwa mwenyekiti halali wa bodi hiyo,Manyora kwa upande mwingine anasisitiza kuwa alichaguliwa kihalali kwa wadhifa huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive