Mgogoro wa usafiri Limuru: Matatu na tuktuk wakabiliana vikali.

  • | NTV Video
    196 views

    Shughuli za uchukuzi zimetatizwa katika kituo cha magari ya uchukuzi wa umma Limuru kaunti ya Kiambu, baada ya mgogoro kati ya wahudumu wa magari ya shirika la nakili ambalo hubeba abiria kutoka Limuru kuelekea ndeiya na wahudumu wa tuktuk pande zote mbili zilinyooshea kidole cha lawama uongozi wa manispaa ya Limuru

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya