- 2,195 viewsMgogoro mpya unatokea kati ya Waziri wa Hazina ya Kitaifa, John Mbadi, na familia ya Odinga kufuatia matamshi yake kuhusu usimamizi wa chama cha ODM. Kauli ya Mbadi kwamba Raila hayupo tena imeonekana kuwakera mjane wa Raila, Ida Odinga, pamoja na mwanawe marehemu Winnie Odinga na hata dada yake, Ruth Odinga.