Mgombea urais wa Azimio One Kenya azuru maeneo ya Ukambani

  • | Citizen TV
    4,377 views

    Mgombea urais kwa muungano wa Azimio Raila Odinga ameahidi kuwa gharama ya maisha itapungua maradufu chini ya siku mia moja za uongozi wake endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Agosti. Raila alizungumza haya kwenye misururu ya mikutano ya pamoja na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka maeneo ya ukambani.