Mgomo wa madaktari katika Kaunti ya Embu umeingia siku ya nne, huku wahudumu wa afya wakishutumu utawala wa kaunti hiyo kwa kukosa kuheshimu makubaliano ya kurejea kazini yaliyotiwa saini miaka miwili iliyopita. Kabla ya mgomo huo, madaktari walikuwa wametoa notisi ya mgomo wa siku 14 wakitaka kuchukuliwa hatua kuhusu masuala mbalimbali.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya