Mgomo Wa Madaktari: Mawaziri-3 na baraza la magavana wapata samansi

  • | KBC Video
    36 views

    Kamati ya pamoja ya bunge inayochunguza mzozo katika sekta ya afya ililazimika kuahirisha kikao chake cha leo baada ya mawaziri watatu na baraza la magavana kukweka kikao hicho. Kamati hiyo ilikashifu hatua hiyo na kutoa maagizo kwao kufika mbele ya kamati ya pamoja ya afya kwenye bunge la kitaifa na Seneti mnamo tarehe-2 mwezi Mei mwaka huu. Abdiaziz Hashim na taslifu kamili kuhusu mgomo wa madaktari ambao umeingia siku ya 44.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News