Mgomo wa madaktari nchini waingia siku ya 13

  • | Citizen TV
    989 views

    Mgomo wa madaktari ukiingia siku ya kumi na tatu hii leo, vuta nikuvute kati ya madaktari, serikali kuu na serikali za kaunti inaendelea huku wagonjwa wakitaabika hospitalini. Baraza la Magavana na kamati maalum ya mazungumzo hayo zimeandaa mikutano hapo kesho kuangazia mgomo huo na kutafuta suluhu.