Mgomo wa madaktari umefanya wabunge waseme serikali inafaa kufanya hima ili wangojwa wasihangaike

  • | Citizen TV
    1,279 views

    Mgomo wa madaktari nchini umeingia siku ya 13 huku maandamano yakiandaliwa sehemu mbalimbali kushinikiza serikali kuchukua hatua. Hapa jijini Nairobi, Wabunge saba sasa wanataka serikali kutafuta suluhu ya haraka kwa mgomo huu wa madaktari ulioendelea kutatiza shughuli katika hospitali za umma nchini. Wabunge hawa wakitaka serikali kufanya hima kwani wagonjwa wengi wameendelea kuhangaika