- 3,352 viewsDuration: 2:39Wahudumu wa sekta ya usafiri wa umma na baadhi ya miungano ya watengenezaji bidhaa wametangaza mgomo kuanzia saa sita usiku wa leo kufuatia kupanda kwa bei ya petroli na dizeli nchini. Wahudumu hao wanasema itakuwa vigumu kwao kuendelea na biashara, wakiitaka serikali kuingilia kati la sivyo uchumi wa Kenya uporomoke. Haya yamejiri huku Mkenya mmoja akielekea mahakamani kutaka kusitishwa kwa nyongeza mpya ya mafuta, kama Gatete Njoroge anavyoarifu.