- 697 viewsDuration: 6:50Mgomo wa wahadhiri katika vyuo vikuu kote nchini ukiendelea, katika Chuo Kikuu cha Moi, wahadhiri wamesema wataendelea na mgomo huo hadi pale matakwa yao yatakapotekelezwa kikamilifu. Wahadhiri hao wanasema serikali haijali hatma ya wanafunzi wanaosomea katika vyuo vikuu vya umma nchini.