- 288 viewsDuration: 3:18Mgomo wa wahadhiri ukiingia siku ya tisa hii leo, wahadhiri pamoja na wafanyikazi wa vyuo vikuu bado wanashikilia kuwa hawatarejea kazini hadi pale serikali itakapowalipa shilingi bilioni 7.9. Wahadhiri na wafanyikazi hao wamemkashifu waziri wa elimu migos ogamba kwa kutoa vitisho bila suluhu.