- 611 viewsDuration: 3:17Mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma nchini umeingia siku ya 34, huku wahadhiri wa chuo kikuu cha kiufundi (TUK) wakianza mgomo wao. Wahadhiri 40 wanaoshiriki mgomo wa kitaifa katika chuo hicho wamekabidhiwa barua za kuwasimamisha kazi na kufungiwa nje. Wahadhiri hao wanalalamikia kutolipwa kikamilifu mishahara yao ya Julai