- 330 viewsDuration: 2:46Mgomo wa wahadhiri unaongia wiki ya tatu sasa umeonyesha sura tofauti ya wahadhiri ambao kwa kawaida hawajulikani kwa mzaha. Mgomo huu umeshuhudia baadhi ya wahadhiri wakijimwaya-mwaya na kushiriki michezo na sanaa mbalimbali. Katika vyuo vikuu vya jomo kenyatta na maseno, wahadhiri wametumia muda wao kucheza densi na kupiga miili pole wakisubiri maafikio ya wakubwa wao na serikali