Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wa wahadhiri waingia siku ya 20 huku serikali ikipewa masharti

  • | Citizen TV
    1,649 views
    Duration: 3:01
    Mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma umeingia siku ya ishirini hii leo kwa maandamano hadi bungeni, wizara ya fedha na ile ya elimu. Wafanyikazi hao wakishinikiza kulipwa shilingi bilioni 7.9 walizokubaliana kwenye CBA ya 2017–2021. Wanasema mkutano uliopangwa kufanyika alhamisi utavurugika iwapo serikali itapendekeza mabadiliko. Nao wanafunzi wameipa serikali saa 48, la sivyo waanze mgomo kuwaunga mkono wahadhiri wao