- 417 viewsDuration: 2:43Wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma wanazidi kuteseka huku Shughuli za masomo zikikwama kwa wiki ya pili sasa. Huku Wanafunzi wakielezea wasiwasi wao, waziri wa elimu Migos Ogamba amewaonya wahadhiri dhidi ya kuendelea na mgomo akiwataka kuheshimu agizo la mahakama na kurejea kazini.