- 691 viewsDuration: 3:11Shughuli za masomo katika vyuo vikuu vya umma zimetatizwa baada ya wahadhiri wa vyuo vikuu nchini kuanza rasmi mgomo wao wa kitaifa. Wahadhiri kutoka vyuo vikuu 42 kote nchini wanagoma licha ya serikali kuahidi kuwapa shilingi bilioni 2.5 kurejea kazini. Wahadhiri hawa wanasema hawatarudi kazini hadi watakapopata malipo yao kama walivyoafikiana na serikali.