Mgomo wa wauguzi huko taita taveta umeingia siku ya 29

  • | Citizen TV
    188 views

    Shirika la Msalaba mwekundu la Uingereza linalenga kufadhili wakulima elfu kumi na watano kutoka eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita-Taveta kabla ya mwisho mwa mwaka huu. ufadhili huo ni wa mafunzo yakuwawezesha kuongeza uzalishaji wa vyakula mashinani ili kukabiliana na njaa, usalama wa chakula na lishe bora.