9 Oct 2025 10:28 am | Citizen TV 113 views Duration: 1:30 Wauguzi katika Kaunti ya Siaya wanadai fidia kwa wenzao 20 waliojeruhiwa wakati wa shambulio la hivi karibuni wakati wa maandamano ya amani katika makao makuu ya serikali ya kaunti hiyo.