Skip to main content
Skip to main content

Mgomo wafanyakazi waathiri safari za ndege kwa siku ya pili nchini

  • | Citizen TV
    3,838 views
    Duration: 7:18
    Kwa siku ya pili wasafari wameendelea kutaabika katika uwanja wa jkia kufuatia mgomo wa wafanyikazi. Runinga ya citizen imethibitisha kuwa ndege za usafiri humu nchini na kutoka nje zimeathirika kufuatia mgomo huo huku wasafiri wakielezwa kusubiri kwa zaidi ya saa nne kabla ya kusafiri.