Mgonjwa aliyekuwa akitibiwa akamatwa baada ya kuiba simu ya daktari Machakos

  • | Citizen TV
    3,942 views

    Kijana mwenye umri wa miaka kumi na saba amekamatwa baada ya kupatikana na simu ya wizi anayodaiwa kumuibia daktari wa hospitali ya Machakos level five muda mfupi baada ya kuhudumiwa na daktari huyo