| MHESHIMIWA AGEUKIA BODABODA | Peter Omosa aliwania kiti cha ubunge Embakasi South, Nairobi

  • | Citizen TV
    18,124 views

    Waswahili wanasema ukubwa ni jaa, na Peter Omosa aliyenuia kuwa mbunge wa Embakasi South mara tatu anaelewa fika msemo huu. Siasa zimemshusha hadhi baada ya kuuza mali yake yote kugharamia kampeini. Yeye sasa ni mhudumu wa bodaboda lakini anasema hajafa moyo, ari yake ya kuongoza bado ipo. Mashirima Kapombe alikutana naye na hii hapa taarifa yake.