Mhubiri Paul Mckenzie na washukiwa wengine wanane wamepelekwa hadi Mahakama ya Shanzu

  • | Citizen TV
    2,316 views

    Mhubiri wa kanisa la Good News International Paul Mckenzie na washukiwa wengine wanane wamepelekwa hadi Mahakama ya SHanzu ambapo kesi inayowakabili itasikizwa.