Mhubiri tata Paul Mackenzie na wenzake wafikishwa kortini Malindi

  • | Citizen TV
    1,039 views

    Mhubiri tata Paul Mackenzie na washukiwa wenzake mapema hii leo walizua rabsha nje ya mahakama ya Shanzu walipokuwa wakiwasilishwa.