Mhudumu wa boda boda aliyepigwa risasi Thika kuzikwa

  • | NTV Video
    815 views

    Familia ya David Nduati, mhudumu wa bodaboda mwenye umri wa miaka 26 aliyepigwa risasi, wakati wa makabiliano makali katika kijiji cha Kiganjo huko Thika, Kaunti ya Kiambu hatimaye imekubali kumzika kufuatia kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa mshukiwa mkuu, mbunge wa Gatundu Kusini Gabriel Kagombe.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya