Michuano ya Kombe la Dunia ya Kipekee ya mwaka 2030 kufanyika Ulaya na Afrika

  • | VOA Swahili
    191 views
    Michuano ya Kombe la Dunia ya kipekee ya 2030 itafanyika Ulaya na Afrika kukiwa na ongezeko lakushtukiza la Amerika Kusini katika makubaliano ya kuruhusu michuano ya soka ya wanaume kuanza na sherehe za kuzaliwa za miaka 100 huko Uruguay. FIFA walifikia makubaliano Jumatano kati ya viongozi wa soka barani kuikubali nchi moja tu kuwa mwenyeji wa michuano hiyo ya 2030 katika nchi sita, taasisi inayosimamia michezo hiyo ilisema. Zabuni ya pamoja kati ya Morocco, Ureno iliongezaka na kuiingiza Uhispania mwaka huu na sasa pia inajumuisha zabuni ya mahasimu walioomba muda mrefu nao ni Argentina, Paraguay and Uruguay. - AP #FIFA #WorldCup #FIFA2030 #VOA - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.